Jumanne, 31 Desemba 2013

Dodoma ni Historia hii haijawahi Kutokea

Mcheza kwa hutunzwa na Mtu kwao waswahili wanasema hivyo yule super nyota wa Dodoma mwaka huu 2013 JacoBeat anafunga mwaka kwa staili ya tofauti haija wahi kutokea hiyo mkoani Dodoma
  Akizungumza na waandishi wa habari Jacobeat amesema
",Baada yakumaliza video ya ayayah sasa tunamaliza mwaka kwa burudani yakutosha siku ya mkesha wa mwaka mpya tutapiga show mbili ndani ya usiku mmoja tukianza na viwanja vya kidongo nakumalizia show ya nguvu huku tukizindua video kwa mara ya kwanza pale club laaziz na kama haitoshi alhamisi pale maisha club dodoma video itatambulishwa pia kumaliza kiu yako tuungane katika sehemu nilizokutajia kwa burudani ya nguvu"
moja kati ya vipande vya video mpya itakayofanyiwa uzinduzi
    • Korumba Victor Moshi
  1. December 29 via mobile
    hello fanz,Baada yakumaliza video ya ayayah sasa tunamaliza mwaka kwa burudani yakutosha siku ya mkesha wa mwaka mpya tutapiga show mbili ndani ya usiku mmoja tukianza na viwanja vya kidongo nakumalizia show ya nguvu huku tukizindua video kwa mara ya kwanza pale club laaziz na kama haitoshi alhamisi pale maisha club dodoma video itatambulishwa pia kumaliza kiu yako tuungane katika sehemu nilizokutajia kwa burudani

    Nahichi ndicho alichokiandika mmoja wa viongozi juu ya Wise one Ambae nae atakuwepo kwenye show hiyo pamoja na Jacobeat

  2. Hii ndo zawadi yangu binafsi kwa Msanii WIsE OnE ambaye naomba nimtambue kama msanii Bora wa kiume wa mwaka 2013.
    Ingrdients:Amefanya video mbili ndani ya huu mwaka, anafanya harakati za kupush mziki wake nje ya DODOma, hits,kama MALAIKA,KILAZA,AYA yaYAYa,KAMA NINGEJUA,My LoVE..pia ameweza kupata fursa ya kufanya showS nje ya Mkoa.
    — with Jaco Beatz and 2 others.
  3. Huu ndo Utamu wa video ya ayayah ni noma sana
Ni bonge moja la video nashow ya kueleweka hautakiwi kukosa hii
          Funga mwaka na Peremende Dodoma

Hakuna maoni: