Ijumaa, 6 Desemba 2013

Habari za uhakika sasa Nelson Mandela amefariki

NELSON MANDELA AMEFARIKI DUNIA!
Baada ya kuzushiwa kifo kwa muda mrefu

Rais wa kwanza mweusi nchini Afrika Kusini, Nelson Mandela, amefariki leo  akiwa na miaka 95.

Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ametangaza maombolezo ya kitaifa ambapo bendera zitapepea nusu mlingoti kuanzia Ijumaa ya leo.
Mungu amleze mahali panapo stahili marehemu

Hakuna maoni: