Jumatano, 4 Desemba 2013
Kama ni kuzushiwa sasa Kwa Zitto imezidi
Habari za ndani ya Chadema ambazo Sio Rasimi tumeweza kupata kuwa Zitto kabwe ndio mtu ambaye ameweza kuandaa barua za wale ambao wamejiuzulu uongozi ndani ya chadema akiwamo mwenyekiti wa chadema Singida pamoja na Lindi kuwapa barua hizo na kuwaandalia pesa za kutosha mipango ambayo imepangwa na Ccm pamoja na Zitto kukichafua chadema na ukongozi wake bado kuna viongozi ambao nao wanashawishiwa kwa kupewa pesa ili wafanye hivyo,
kigezo kinachotumika kama ushahidi ni kuwa Barua zote zilizowasilishwa za kujiuzulu kwa viongozi hao zinafanaa kwahiyo zinadhihirisha kuwa ziliandikwa na mtu mmoja ambae ni Zitto
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni