Mhe Godbless Lema (MB) – Arusha Mjini
Leo kaweza kunena bungeni na kusema kuwa pesa za uswis zisiwe ngonjera kila siku kuongea tu juu ya swala la pesa za uswis wakati majina yapo na Zitto kabwe anayo na anaweza kuwataja au kumpa CAG aweze kuchukua hatua ila kimya kila siku sasa kama inasindwa kutaja basi anaweza kukabizi majina hayo nikaweza kutaja kwani hayo majina akutakiwi mpaka uwe na kinga ndio uweze kutaja hayo majina kinga ni wewe mwenyewe kutaja"""Ni kauli ya Mhe Godbless Lema (MB) – Arusha Mjini leo bungeni Dodoma,
Kaongea vitu vya msingi maana toka niskie Zitto akiongelea swala la mapesa ya uswisi ni mda mrefu mpaka sasa ila amna hatua zozote kuchukuliwa,
Neno lako juu ya Swala hili. .

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni