Ijumaa, 20 Desemba 2013

Leo ndo Leo bungeni Pinda kuendelea kuwa waziri mkuu au laa!

FOMU ZA KUMNG’OA PINDA ZALETWA BUNGENI

Mbunge wa Kasulu Mjini (NCCR-Mageuzi), Moses Machali.
 
Mbunge wa Kasulu Mjini (NCCR-Mageuzi), Moses Machali, ameingia na fomu bungeni hivi punde kwa ajili ya kukusanya saini za wabunge za kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, baada ya ripoti iliyofichua maovu yaliyofanyika katika Operesheni Tokomeza.

Hakuna maoni: