Jumatatu, 9 Desemba 2013

Lwakatere Arudi tena Segerea

Wilfred Lwakatare · 1,293 followers
Yesterday at 1:03pm  ·
Habari Ya Asubuhi Waheshimiwa Marafiki,Ndugu na Jamaa,
Leo Mungu amenipa fursa ya kumtembelea Swahiba wangu Sheikh Issah Ponda gerezani Segerea pamoja na 'washkaji' wengine wengi niliojenga nao urafiki na undugu nilipokuwa gerezani.
Hivi sasa niko njiani kuelekea Segerea Gerezani.
Pamoja na kuwaona,nitawahabarisha yanayojiri mitaani,nitawapa moyo na kuwafariji na nimebebea 'mazagazaga' kibao.
Nawatakia siku njema.

Hakuna maoni: