Madudu ya Tanzania kwa rushwa inashika nafasi ya pili Afrika
Tanzania imeendelea kufanya vibaya katika ripoti ya viwango vya rushwa
duniani kwa mwaka 2013 , imekamata nafasi ya 111 kati ya nchi 177
duniani, huku katika Afrika Mashariki imekamata nafasi ya pili baada ya
Rwanda kwa vitendo vya rushwa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni