ATTENTION PLEASE Mtayarishaji wa Video kali mkoani Dodoma Erick Backamaza atoa somo kwa wasanini wa Dododma
hii ni kwa wahusika...
Mziki wa Dodoma upo Chini na kuna uwezekano mkubwa wa kuendelea kuwa chin licha ya mabadiliko makubwa ndani ya Mwaka huu 2013.
Wasanii ni wavivu na wazembe pia hawajitumi,wanasubiri miujiza ili watoke. Wengi wana Record BURE ndomana mziki wao hawauhurumii na hawahangahikii k2, wanaolipia kidogo wakifurukuta nyimbo inaishia media za hpa hpa mjin, Prisenters wa Media wanajarb kuplay part yao japo nao wanazingua ila wasanii hawana ukarib na watangazaji na djz kikaz bar kisela tu.
Kama mabadiliko binafsi ya mtu mmoja mmoja hayatotokea GEM itawafunga kamba DAILY.
Fanyen kaz na Tangazeni kazi zenu kwa nidham ya gemu na kipaji ulichonacho, Msilidhike na kulipwa 10000 kwene show,Fanyeni kazi mlipie mziki wenu ndipo producerz watafanya kaz nzur na prizenters wataheshim kaz zenu,na ndipo mtatangaza kaz zenu
Ni hayo tu

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni