South Africa kuonyesha kuwa inatambua ubora wa Rais wetu Mheshimiwa J.K kikwate imempa nafasi naheshima ya pekee sana
Viongozi wengi wanaheshimika ndani na nje ya Ulaya,lakini kitendo cha
Wana Afrika Kusini kukumpa heshima ya kutambulisha ugeni mzito basi
ni FAHARI NA HESHIMA KUBWA KWA WATANZANIA NA HUO NDIO URAFIKI MWEMA KWAO
NA SISI.
AHSANTE NDUGU ZETU WANA AFRIKA KUSINI,AHSANTE JAKAYA KIKWETE.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni