
Baada ya taarifa za kifo cha mzee Mandela Mheshimiwa Zitto Kabwe Amebadilisha Profile picha yake kwenye Facebook na kuweka ya Mandela nikisha kuweka picha hiyo hapo chini nakusema
Machozi yananitoka....pumzika kwa amani Tata Madiba #Madiba
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni