Selemani Msindi "Afande Sele // The king of Rymes" hapa akiwa jukwaani
akiwapa neno wakazi wa MOROGORO katika mwendelezo wa mikutano ya CHADEMA
chini ya Oparesheni Pamoja Daima (OPD),,, Wana Morogoro wao wameapa
kumtema Aziz Abood ifikapo 2015,, Wameenda mbali zaid na kumsihi Abood
Aziz aachie ngazi kabla ya 2015,, baadhi yao wamemshauri achukue kilicho
chake na arudi kwao Uarabuni akalime Tende na Haluwa !! Km
itashindikana basi aende Turiani kulima Miwa..... Habari za chini ya
kapeti zinasema kuwa Ndugu Abood sasa Presha juu Aidha yeye aapa kuja na
mbinu za kizembe ili kumpoteza Afande Sele,,, Asema atapunguza nauli
kwenye mabasi yake Yafanyayo roote za MORO to DAR kutoka Tsh 7000 mpaka
2500 kwa wakazi wa MOROGORO tu,,,, Teh teh teh........
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni