

Nibaada ya kuachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la WAMENUNA msanii bora kabisa kwa upande wa kanda yakati nchini Tanzania Jacobeat ameanza maandalizi ya video ya wimbo huo akiongea na ma mimi msanii huyo amesema yafuatayo
ths tym nataka wote tutimize ndoto Zetu vijana wa dodoma hii ni kwa wanaume kwa wanawake wenye gud lukin,models ,photogenics n. k nicheki nikwambie tunafanya nini kuisimamisha dodoma 0658074341
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni