Jumatano, 4 Desemba 2013

Haya ndo Matokeo ya Maoni juu ya Serikali Tatu ya Watanzania wa Bara

Utafiti wa shirika la Twaweza unaonesha kuwa asilimia 51 ya watanzania waishio bara wanaunga mkono kuwa na muungano wa serikali tatu, na asilimia 48% hawakubali.

Hakuna maoni: