SAUTI YA VIJANA BUSOKELO WAFANYA YAO!!!!! Mnamo tarehe 2/2/2014 walitoa tangazo katika ukurasa wa sauti ya vijana busokelo Facebook kuwa wameandaa shindano kwa wale watakaopost katika ukurasa wao wa Facebook wa SAUTI YA VIJANA BUSOKELO wataibuka washindi, Ilikuwa kama utani lakini kadri siku zilikuwa zikiendelea wadau walijitokeza na kuweza kutoa mawazo yao ambayo kwa kweli yalikuwa na nguvu san. Baada ya muda kupita tarehe 14/2/2014 ilipofika ambayo ilikuwa ni siku ya wapenda nao Duniani yakatolewa majina ya walioshinda: wafuatao ndio washiriki walioshiriki shindano hili na kujishindia muda wa maongezi kwa kila mmoja wa Tsh 2,000, MTAKATIFU YOHANA - DAR ES SALAAM, FULL BWAX, SHUKURU MWANGOSI -MBEYA, GURIDRICO LA TUNECH JR-ARUSHA, NICHOLAUS WILSON, NEHEMIA FRANK - DAR ES SALAAM, HENRY MWINGIRA - SINGIDA, EMMANUEL SAMILA - IRINGA, ELLY LAWI BONKE – MBEYA Waliponiua mimi nkawaona hawajamaa ni noma ikawa hapa waliandaa cheti ambacho kilikuwa na majina ya washiriki wote.
Kwa hali hii inonyesha ni kwa jinsi gani mitandao ya kijamii kama vile Facbook inavyo weza kuwaleta vijana pamoja na kuwafanya waweze kushirikiana kima wazoHongera kwa washiriki na viongozi walio andaa shindano hilo..
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni