Jumatatu, 2 Desemba 2013

Katibu wa chama cha madaktari Ajiunga na CHADEMA

HABARI ZA KITAIFA: WAKATI WENGINE WAKIENDELEA KUJIENGUA WENYEWE CHADEMA, KATIBU WA MADAKTARI AJIUNGA NA CHADEMA KUTETEA MASLAHI YA FANI HIYO




Aliyekuwa Katibu na baadaye President-Elect wa Chama cha Madaktari Tanzania, MAT, Dk Rodrick Kabangila ametangaza rasmi kujivua na kujiudhulu nyadhifa zake zote ndani ya chama hicho cha kitaaluma, na kutangaza kujinga rasmi na chama cha siasa, CHADEMA.

Katika taarifa iliyooneshwa na runinga ya Star-Tv, Dk Kabangila amesema kuwa kwa mujibu wa sheria, imembidi kuamua kufanya lililo sahihi na sasa amejiunga rasmi ili kupata wigo mpana wa kupigania maslahi ya fani, madaktari na wananchi.

Hakuna maoni: