#BUNGENI:
Waziri mkuu Mizengo Pinda ameweka wazi mshahara wake na kusema kuwa
analipwa mshahara wa milioni 6, mshahara ambao ni pamoja na posho ya mke
wake.
Pia amesema kuwa mshahara wake hauna tofauti kubwa sana na mshahara wa Rais, kwa kuwa hautofautiani hata milioni 1, na ameongeza kuwa yeye ni mkopaji mzuri sana wa mikopo toka benki

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni