Jumamosi, 7 Desemba 2013

Tazama kifo cha Kanumba kinavyo endelea kuwaingizia Pesa wajanja wachache


Baada ya kutimia Mwaka mmoja sasa toka alipoondoka duniani msanii mahiri wa bongomovie, Marehemu Steven Kanumba, Msanii mwenzake Jack Wolper aamua kufanya movie kwa ajili ya kumuenzi star huyo, movie itakayozinduliwa hii leo katika viwanja vya leaders club maalumu kwa ajili ya kumuenzi na kumkumbuka marehemu. Kitu kizuri katika hii movie ni kuwapo kwa kijana ambaye ameact kama mdogo wake Kanumba, ambaye ameitendea haki sana nafasi aliyopewa kuact kwani ameact kama Kanumba alivyokuwa akicheza
 Swali ni Je familia ya marehemu inanufaikaje na hiyo move na je nilazima kuendeleza muendelezo wa filamu zinazo muhusu tu Kanumba.
Read more: http://mdadisimambo.blogspot.com/2013/04/angalia-trailer-ya-movie-mpya-maalum.html#ixzz2mmCLYR

Hakuna maoni: