Ijumaa, 6 Desemba 2013

Tanzania yatangaza Siku Tatu za maombolezo Bendera kupepea nusu Mlingoti

‪#‎HABARI‬ Rais wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete, ametangaza siku tatu za maombolezo kufuatia kifo cha Nelson Mandela, bendera zote zitapepea nusu mlingoti hadi tarehe 8.

‪#‎RIPMandela‬

Hakuna maoni: